Kurekebisha Ikama ya Walimu.
Kuandaa bajeti ya watumishi wa idara ya Elimu.
Kutoa mafunzo semina kwa wajumbe wa Kamati za Shule/waratibu Elimu Kata/walimu wakuu/wakuu wa shule juu ya uendeshaji wa shule .
Uhamasishaji Ujenzi wa shule za Msingi/Sekondari.
Kuandaa, kusahihisha na kutoa matokeo ya Mtihani wa Mock Wilaya/Mkoa.
Kuandaa watahiniwa wa Darasa la VII/kidato cha IV kwa ajili ya mtihani wa taifa.
Kuendesha mtihani wa Taifa wa darasa la VII/kidato cha IV.
Kufuatilia Utekelezaji wa Mitaala shuleni.
Kuandaa migawo ya fedha za MMEM/MES za ruzuku-mara 4 kwa mwaka
Kuandaa taarifa za kielimu- mara 4 kwa mwaka
Kuidhinisha likizo ya watumishi Idara ya Elimu mara 2 kwa Mwaka
Kugawa na Kusambaza Vifaa vya Kufundishia.
Kukamilisha fomu mbalimbali za ajira ya walimu wapya.
Kufanya tathmini ya matokeo ya Mitihani ya Taifa.
Kuendesha semina za Kitaaluma.
Kuandaa na kuwasilisha Taarifa Mbalimbali.
P.O.Box 332, KIGOMA
Postal Address: THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Telephone: 028 280 271 9
Mobile: +255 767 682 782
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa