• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua Pepe za watumishi |
Kigoma District Council
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
    • Msingi Mkuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Elimu Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi, Maliasili na Utalii
      • Afya
      • Huduma za Jamii na Ustawi wa jamii
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • TASAF
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, afya na maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Orodha ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu ya maombi
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Makala
    • Hotuba
    • Machapisho

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

Halmashauri ya wilaya ya Kigoma kwa sehemu kubwa inategemea kilimo kama shughuli kuu ya kiuchumi katika kujiongezea kipato na chakula. Mazao makuu ya biashara yanayolimwa ni Kahawa na Michikichi, kwa upande wa mazao ya chakula ni Mahindi, Mihogo, Maharagwe, Viazi vitamu, Ndizi na Karanga. Aidha Taasisi zinazoshirikiana na Halmashauri katika shughuli za kilimo ni kama: JaneGoodall Institute – Uhifadhi wa Mazingira na Kilimo Mseto; TACRI – Utafiti zao la Kahawa; Kanyovu – Chama cha Ushirika zao la Kahawa (M); Seed Change – Uzalishaji Miche bora ya Kahawa; Gombe National Park – Kilimo cha Mihogo.

 

Takwimu zinaonyesha mavuno yamefikia jumla ya tani 339,349.79 kwa mazao ya Mahindi, Mpunga, Muhogo, Ndizi na Viazi Vitamu ambazo zitatoa tani 230,599.89 za wanga na upande wa mazao ya mikunde mavuno ni tani 10,889.84 ambazo zitatoa tani 2.79 za utomwili (protini).  Mahitaji ya chakula kwa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma ni tani 57,861.09 za wanga na tani 4,895.94 za utomwili hivyo kuna ziada ya tani 172,738.8 za wanga na upungufu wa tani 4,250.88 za utomwili (protin). Upungufu huu wa utomwili utafidiwa kwa upatikanaji wa mazao ya samaki, dagaa na mifugo (kuku, mbuzi, kondoo na ng’ombe.) pamoja na mazao ya mikunde yanayolimwa mabondeni kipindi cha kiangazi.

 

Halmashauri inahamasisha  Wananchi Kuunda vikundi vya kiuchumi na vyama vya ushirika kwa lengo la kupata Masoko  ya Pamoja kwa ajili ya kuuza mazao yao kwa bei nzuri na upatikanaji wa mikopo toka  Taasisi za fedha  kiurahisi kwa ajili ya kuendesha shughuli zao za kiuchumi.

Matangazo kwa umma

  • No records found
  • View All

Habari M-pya

  • WAZIRI WA NCHI OR-TAMISEMI Mh. SELEMANI JAFO AKIWA ZIARANI WILAYANI KIGOMA HIVI KARIBUNI

    January 10, 2019
  • MKUU WA WILAYA AKEMEA DHANA YA UCHAWI NA TABIA YA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI

    December 08, 2018
  • MKUU WA WILAYA AKAGUA MRADI WA MAJI KALINZI

    December 07, 2018
  • UJENZI WA KITUO CHA AFYA BITALE, KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA

    October 08, 2018
  • View All

Video

Waziri Jafo Ampongeza Mkurugenzi Mpya wa Halmashauri ya Wilaya Kigoma
More Videos

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • Baraza la Mitihani (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • Tovuti ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    P.O.Box 332, KIGOMA

    Postal Address: THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR

    Telephone: 028 280 271 9

    Mobile: +255 767 682 782

    Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera za Usiri
    • Vigezo
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 H/W Kigoma . Haki zote zimehifadhiwa