• Webmail
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Wasiliana nasi
Kigoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali watu
    • Planning and Management
    • Finance and Accounts
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Procurement and Supply
    • Economy and Production
    • Miundombinu
    • Local Government
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Guidelines
    • Procedures
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Media Center
    • Habari
    • Matangazo kwa umma
    • Maktaba
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA H/W KIGOMA WAPIGWA MSASA NA OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSU SHERIA,HAKI NA WAJIBU

Posted on: October 4th, 2024

Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Viongozi wa vyama vya Siasa wameaswa kuzingatia Sheria za nchi na Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ili kuendelea kudumisha Amani,Uzalendo na umoja wa Kitaifa uliopo nchini.

Wito huo umetolewa leo tarehe 22 Oktoba,2024 na Afisa kutoka Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa Bw.Nelson Hutty wakati wa Mafunzo kuhusu Sheria,Haki na wajibu wa vyama vya Siasa kwa Viongozi wa vyama mbalimbali vya Siasa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kwa lengo la kuwapatia elimu na Uelewa wa mambo mbalimbali kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.


Bw.Hutty ameeleza kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa inalenga kuwapa elimu Viongozi wa Siasa ili kuhamasisha Ushiriki wa vyama kwenye Uchaguzi,uhusiano mzuri na wadau wengine, uvumilivu wa Kisiasa na Utii wa Sheria bila shuruti kwaajili ya mustakabali wa umoja na Muungano wa Taifa la Tanzania.



Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya Viongozi wa vyama vya Siasa wamesema wanaishukuru Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa kuamua kuwaletea Mafunzo hayo,kwakuwa yanawakumbusha Haki na wajibu wao na kuwawezesha kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na chaguzi nyingine kwa kuzingatia Sheria na taratibu za nchi.


Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,unatarajiwa kufanyika tarehe 27, Novemba 2024

Latest Announcements

  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA

    read more
  • TANGAZO LA AJIRA

    read more
  • TANGAZO LA MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA

    read more
  • TANGAZO LA KAZI YA MUDA

    read more
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA VIJANA, WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU

    read more
  • View More

Habari M-pya

  • R.C ANDENGENYE AIPONGEZA KIGOMA D.C KWA HATI SAFI-ASISITIZA USIMAMIZI THABITI MAPATO YA NDANI
  • DAS NZOTA APIGA MARUFUKU MASOKO YA USIKU KWA WATOTO WA UMRI WA CHINI YA MIAKA 18
  • MADIWANI WAIPA KONGOLE KIGOMA DC KUPAA KWA MAPATO
  • DC DKT.CHUACHUA AONGOZA ZOEZI LA USAFI SIMBO AHIMIZA LIWE ENDELEVU
  • WAKULIMA I500 KIGOMA DC WAFIKIWA NA ELIMU YA SHAMBA DARASA
  • More

Wasiliana nasi

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma
THE DISTRICT EXECUTIVE DIRECTOR
Postal Address: P.O.Box 332, KIGOMA
Telephone: 028 2804865
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: 028 2804865
P.O.Box 332 KIGOMA
Postal Address: MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA KIGOMA
Telephone: 028 280 271 9
Barua pepe: ded@kigomadc.go.tz
Mobile: +255752337486

Tovuti zinazo fanana

  • Kigoma Ujiji Mc
  • Halmashauri ya Wilaya Uvinza
  • Halmashauri ya Wilaya Buhigwe
  • Halmashauri ya Wilaya Kasulu
  • Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  • Halmashauri ya wilaya Kibondo
  • Halmashauri ya wilaya Kakonko

Tovuti Zinazo husiana

  • OFISI YA RAIS TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI (NECTA)
  • WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • MKOA WA KIGOMA
  • TOVUTI YA TAIFA
  • MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI
  • SALARY SLIP PORTAL

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2024GWF . All rights reserved.

  • Vigezo
  • Sera za Usiri
  • Maswali ya Mara kwa mara
  • Ramani